Pre GE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi

Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi
wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu katika kuhifadhi
heshima ya marehemu na kurahisisha taratibu za mazishi kwa familia.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Miaka yote Ikungi haina Mortuary? Mambo ya ajabu saan
 
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi

Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi
wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu katika kuhifadhi
heshima ya marehemu na kurahisisha taratibu za mazishi kwa familia.

View attachment 3240634
Hili nalo la kujitangaza
 
Humu tu.
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom