Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi
Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi
wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu katika kuhifadhi
heshima ya marehemu na kurahisisha taratibu za mazishi kwa familia.
View attachment 3240634