Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Umeeleweka mkuu.....Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima.
Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9 wataweka completely lockdown.
Vijana ikifika tarehe 07/12 ondokeni vyuoni.
D9 lazima kiwake.
Aione
Nassoro Katuga
Jaji Mtungi
J4 Muliro
Mto wa mbu
Illinois-USA
Atasalimiwa D9 uyo bitchKatuga aio
Na vyakula watapewa bure?Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima.
Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9 wataweka completely lockdown.
Vijana ikifika tarehe 07/12 ondokeni vyuoni.
D9 lazima kiwake.
Aione
Nassoro Katuga
Jaji Mtungi
J4 Muliro
Mto wa mbu
Illinois-USA
Ikitolewa aisew kuolewa tena kwa uhuru na majigambo ni hakuna.Amani ni kama bikra.
Nadhani upo ill informed, kiasi kikubwa cha wanafunzi wanaishi off campus!!! Sasa lockdown ndani ya Vyuo itatekelezwaje?lockdown
Ikitoka hairudi😁😁😁Amani ni kama bikra.
Inasikitisha sana nchi, wanakuwa idadi ya watu mpaka serikali inaogopa kutangazaIkitoka hairudi😁😁😁
Ezindi nzigaruka mawe, especially koikumala ebilo batagishweileIkitoka hairudi😁😁😁