felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka marekani kwa kipindi angalau miaka minne ya uongozi wa Mwamba Donald Trump ?
Je Sasa ndio tuseme tumeamka rasmi kutoka usingizini? Usingizi wa starehe na pono ? Je ndio Sasa tutaanza kupunguza matumizi ya anasa na yasiyo na ulazima ili fedha zote ziende Sasa kuwasaidia wananchi haswa kwenye sekta ya afya na sekta nyingine?
Je Sasa tutaacha ubadhirifu wa mali za umma, ubadhirifu wa misaada hio ( teni pasenti) ili kusudi Sasa fedha zitokanazo na mapato ya ndani zitumike kama zilivyokusudiwa kwa wananchi na si mapapa wachache?