Serikali imejipangaje juu ya hawa form six 2013?

Serikali imejipangaje juu ya hawa form six 2013?

nyasaland boy

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
23
Reaction score
2
habar wana Jf, hivi serikali imeweka mikakati gani kama sio kunusuru angalau kuondoa kero ambayo imejitokeza mwaka huu kwa form 6 waliomaliza mwaka huu?nahc something went wrong in making decisions, we need to teach our leaders on how they at least brainstorm themselves before bringing challengable policies to the society.Katika mfumo huu mpya, sijaona matokeo yanacheleweshwa mpaka mwenzi huu near june labda hawa gwandaz watuambie kwamba mfumo unarudishwa wa zamani!
 
unashangaa matokeo kuchelewa kutoka??
utashangaa zaid pale ambapo maksi zitachakachuliwa ili kuongeza idadi ya wafaulu.
manake kinyume na hapo mwaka huu vyuo havitapata wanafunzi
 
jamani serikali ya kikwete sikieni kilio cha wanafunzi, wanataka matokeo!
 
sasa nyie mnaong'ang'ania matokeo ya form 6 wakati wengine wako jkt sijui mnataka nini?
 
Na sisi form four tuliofanya mtihani mwezi wa kumi mwaka jana tusemeje? Hayo ndio matatizo ya kuongozwa na serikali legelege,unaenda tena chuo unakaa mpaka wiki mbili mufunge chuo huna mkopo
 
Na sisi form four tuliofanya mtihani mwezi wa kumi mwaka jana tusemeje? Hayo ndio matatizo ya kuongozwa na serikali legelege,unaenda tena chuo unakaa mpaka wiki mbili mufunge chuo huna mkopo(hapo umeomba na ulipata)
 
Back
Top Bottom