Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Umesema vizuri kuhusu chanjo ya manjano kwamba vyeti vyake vinafojiwa,Nikuulize je,uliwahi kuishauri serikali kudhibiti uchakachuaji wa chanjo hiyo?Majibu haya yananipeleka mbali sana na kuamini kuwa kadi feki zitakuwa mkombozi kwa wale ambao hawataki kupata chanjo , kwa mfano nikikumbuka juu ya chanjo ya homa ya manjano (Yellow Fever) , kadi hii pia ni moja ya kadi iliyotumika kama moja ya vielelezo vya kupata baadhi ya huduma ndani na nje ya nchi , mfano ukitaka kusafiri kwenda nchi za magharibi ili upewe Visa ni lazima uwasilishe hiyo kadi , lakini wabongo kwa ujanja wao walifanikiwa kutoa kadi feki ambayo inafanana kwa asilimia 100 na ile yenyewe na kwa sababu serikali haipo makini ili jambo la kadi feki za yellow fever mpaka sasa kadi hizo zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Mtindo huu ndio unaoonekana kusubiriwa kwa hamu kubwa na watanzania wengi kuwa hawatachanja lakini kadi watapata, sasa sijui serikali imejipangaje juu ya hili swala tumbuke kuwa ukiacha hizo kadi feki kutoka kwa wajanja wa mjini pia kuna zile kadi zitakazokuwa zimeachwa na waliochanja aidha kwa wao kuhama eneo au kutokujali kuchukua hiyo kadi na wahudumu wa chanjo watageuza kuwa fursa kwao kwa kuwauzia wale wenye kuhitaji angali hawataki kuchanja.