Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

nyamadoke75

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
93
Reaction score
288
SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE WASIWAUMIZE TENA WANACHI WA TANZANIA 🇹🇿 NA WATU Wote wa walio umizwa na matapeli hawa

Kwenda Livard Silwimba 255689493124
Jumla TZS 200,000.

SOKONI BIKI Zanzibar
ringing +255 782 741 383.Namba wanazotumia utapeli mtandaoni ukilipa upati bidhaa
 

Attachments

  • VID-20240625-WA0129.mp4
    2.7 MB
  • IMG-20240625-WA0130.jpg
    IMG-20240625-WA0130.jpg
    44.2 KB · Views: 7
  • IMG-20240625-WA0131.jpg
    IMG-20240625-WA0131.jpg
    87.4 KB · Views: 5
Ukiona mtu anauza kitu bei rahisi alafu a akuambie yupo zanzibar basi ujue ni tapeli. Hivi wajinga huwa hawaishi hapa tz
???
 
Back
Top Bottom