The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Serikali imekamilisha ujenzi wa mradi wa kituo kikubwa Cha kibiashara na usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam.
Akizungumza Leo Machi 7, 2025 na waandishi wa Habari Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. @lazarotwange amesema kituo hicho kimetumia zaidi ya Bilioni 303 na kuongeza kuwa kukamilika Kwa kituo hicho kutaleta mapinduzi makubwa ya kibiashara Nchini Tanzania.
Aidha ameongeza kuwa zaidi ya Shilingi Bilioni 5 zimewekwa kwaajili ya Shule maalum ya Wasichana ya Dar es salaam Girls kwaajili ya kuwatengezea Mazingira mazuri wanafunzi hao.