Serikali imekuja na mkakati wa kumaliza uhaba wa mbegu

Serikali imekuja na mkakati wa kumaliza uhaba wa mbegu

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote.

Serikali ya Rais Samia imedhamiria kumaliza uhaba wa mbegu ili kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuwekeza kwenye uzalishajii wa mbegu bora Ili kufikia lengo hilo Serikali imeongeza bajeti katika eneo la uzalishaji wa mbegu bora hadi kufikia Shilingi Bilioni 83.

Serikali imefanikiwa kuwezesha kupatikana kwa mbegu bora Tani 49,962=26.7% hadi kufikia April 2022 kati ya hizo jumla ya Tani 35,199.39 zimezalishwa hapa nchini.

Kilimo kinaendelea kuimarika chini ya Rais Samia Suluhu kupitia ongezeko hili la uzalishaji wa mbegu bora tutarajie kuongezeka kwa uzalishaji pia itasaidia kupunguza gharama ya mazao.
 
Back
Top Bottom