Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu.
Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti, kuwauzia watu vifaa vya kiroho au kusisitiza sadaka za kufunguliwa, sadaka za kubarikiwa, sadaka za kujenga madhabahu n.k.
Manabii, mitume, wachungaji na walimu maaruru karibu wote hapa Tanzania wanachukua kiingilio cha kuwaona.
Leo hii huwezi kumwona Mwakasege Ofisni kwake kama wewe ni kapuku au sio mtu maarufu . Kama sio mfanyabiashara maarufu au mwanasiasa huwezi kumwona Mwamposa ofisni kwake eti mmekaa wawili ndani akuombee , sahau.
Kitakachokupa kibali kuonana ofisni kwao watumishi maarufu wote ni aidha uwe mwanasiasa maarufu, uwe mfanyabiashara maarufu au utoe pesa za kiingilio.
Mwanasiasa ataruhusiwa kwakuwa ameshikia makali, mfanyabiashara ataingia bure lakini atatoa pesa nyingi. Maskini huwezi kuingizwa ofisni bure maana utaishia kutoa sadaka ya buku 5 ambayo hata lunch haitoshi. Hivyo jitafute, kama kuuza shamba uza utoe angalau laki 2 , 3 ndio utaruhusiwa kuingia.
Hoja ya kuchonganisha watu hiyo pia kaonewa.
Iwe uongo au kweli. Serikali haina kupimo cha mambo ya rohoni.
Je, katika dini kuu 3 hapa nchini zote ni za MUNGU?
Hizo dini pia zina madhehebu, je, yote ni ya MUNGU?
Maadamu serikali imeamua kutoa uhuru wa kuabudu waache watu wakaliwe wapendako.
Mwamposa Moshi alisababisha watu kufa kizembe wakati wakikanyaga wese mbona aliachwa?
Je, kiboko ya wachawi amefanya kosa kubwa zaidi kosa lile la Mwamposa Moshi?
Serikali ichague moja. Kufunga shughuli zote za dini au kuruhusu watu waabudu wapendavyo ilimradi tu wasivunje Sheria za nchi.