Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza vifo vya mama na mtoto pamoja na kifafa cha mimba vilivyokua vinatokana na kutopata huduma za awali kwa wajawazito.
Lakini pia Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma sasa amefanikiwa kwa kujenga majengo ya huduma ya mama na mtoto hadi vijijini sasa huduma zinapatikana karibu na makazi ya wananchi vile vifo vilivyokua vinatokana na umbali wa huduma hiyo vinaendelea kupungua.