Socrates_family
Member
- Oct 14, 2018
- 21
- 28
Mimi natangaza kuwa MTU wa kwanza kuwa siiamini Serikali kama inawaona vijana na generation ijayo ..
Sijui serikali hii inatamani kuona Society ya aina gani in 5 to 10 years later.
Naamini vijana ni kundi linaloteseka sana kuliko kundi lolote lile na kipindi hiki cha awamu ya tano vijana wamekuwa wahanga na watumwa wa nchi yao kuliko kipindi chochote kwenye historia ya Tanzania.
Mimi na declare , ni mwanachama na kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi ..
Ninapata huruma sana kwa vijana ,
Kwa watu wanaokaa mitaani wanaujua ukweli , na Mhe Rais yuko ikulu na vyombo vimeamua kumdanganya kuhusu vijana , vijana watateseka mpaka waamue wao kujiondoa utumwani . Hakuna mtetezi wao kabisa
Kijana amehitimu 2015 Chuo kikuu ,mpaka sasa hajapata ajira , ukiwaza alivyosoma sasa .
1. Mashamba yameuzwa , na mifugo yote wazazi wakiona nuru ndani ya kijana wao miaka ijayo ,Leo hiyo kijana anahangaika bila kufanikiwa chochote
2. Kwa nature ya familia za Africa , unakuta rasilimali zote za familia zilitumika kumsomesha kijana aliyeoneka kuwa na uwezo kiakili , Leo hawezi kununua hata sukari kwa ajili ya mama yake.
Nashauri vijana tuunde forum , tuone njia mbadala ya kujikomboa , raslimali za taifa hili tutazisikia kwa wateule pekee.
Kwa hakika , tusiilufiche ukweli , ushauri mzuri kwa Rais kuhusu vijana nitautoa baadaye .
Serikali imeonesha ubaguzi wa wazi kwa vijana waliosoma mpaka elimu ya Juu , bora tuambiwe kama vijana hawastahili kunufaika na rasilimali za nchi hii.