Serikali imeridhia uchumi wa bodaboda?

Serikali imeridhia uchumi wa bodaboda?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Serikali na viongozi naomba niwaulize. Je, mumeridhia uchumi wa Taifa hili linalosifika kwa kuwa na rasilimali lukuki tutembee kwenye uchumi wa bodaboda?

Nauliza hivi kwakuwa naona ndio ajira kubwa ya nguvu kazi vijana wa Tanzania.
 
Swali la maana ni kuuliza kwanini Hakuna Sera za Kutengeneza Ajira Sustainable zenye Ujira na sio Kwanini Sekta fulani imekuwa ndio chanzo muhimu cha Ajira....

Tengeneza huku pengine vizuri watu watakuja lakini sio kukashifu / kuuliza kwanini hiki kipo wakati hakuna kingine...

Kwahio kunahitajika MiundoMbinu Sahihi ambayo itahusisha sekta zote na kupata hilo kunahitajika a Bottom Up Approach (which means Bodaboda na Wabangaizaji wenyewe watajikomboa tu, all they need is right infrastructure)
 
Ok
 
System nzima imeoza kinachotakiwa ni complete overhaul..., mambo yanafanyika kwa kutegemeana industry moja inachangia nyingine (ingawa Tanzania tuna rasilimali na nchi kubwa kulingana na watu we should be doing better than others) lakini kwa ulimwengu mzima kutokana na automation na machinery (nguvu kazi haiitajiki tena kama zamani) we are at crossroads bila sera ambazo ni sustainable civilization as we know it might end sooner rather than later
 
Usiangalie bodaboda tu, nenda maeneo mengi utakuta ajira zisizo rasmi, uchumi wa kupanga nyanya barabarani hujauona?
 
Back
Top Bottom