Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
OkSwali la maana ni kuuliza kwanini Hakuna Sera za Kutengeneza Ajira Sustainable zenye Ujira na sio Kwanini Sekta fulani imekuwa ndio chanzo muhimu cha Ajira....
Tengeneza huku pengine vizuri watu watakuja lakini sio kukashifu / kuuliza kwanini hiki kipo wakati hakuna kingine...
Kwahio kunahitajika MiundoMbinu Sahihi ambayo itahusisha sekta zote na kupata hilo kunahitajika a Bottom Up Approach (which means Bodaboda na Wabangaizaji wenyewe watajikomboa tu, all they need is right infrastructure)
System nzima imeoza kinachotakiwa ni complete overhaul..., mambo yanafanyika kwa kutegemeana industry moja inachangia nyingine (ingawa Tanzania tuna rasilimali na nchi kubwa kulingana na watu we should be doing better than others) lakini kwa ulimwengu mzima kutokana na automation na machinery (nguvu kazi haiitajiki tena kama zamani) we are at crossroads bila sera ambazo ni sustainable civilization as we know it might end sooner rather than later