Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
hawa watoto nao wana ndoto zao maishani!
wengine watataka kuwa mawaziri, wengine wafanyabiashara, wengine waalimu, mwingine atataka awe rais n.k
sasa je kwa mazingira kama haya, ndoto zao zitatimilika kweli?
serikali yetu bado haijawa serious kabisa katika kutoa elimu sawa kwa wote.
kwa uchunguzi wa haraka, kuna watoto wengine hata wanafikia hatua ya kumaliza shule ya msingi, licha ya kutojua kusoma na kuandika, lugha yenyewe ya kiswahili hawazwezi kuizungumza vizuri.
Tanzania inarudishwa nyuma na vwananchi wake wenyewe!
endapo tukiamua kuwaamsha viongozi, hakika maendeleo yataonekana!