Mkuu suala la kujali malezi ya mtoto,kiafya kielimu, lianzie nyumbani kwa maana mbali na mtoto kuwa wa jamhuri ana wazazi pia. Muhimu ni serikali kuinua level ya maisha ya watu wa hali ya chini ili kupunguza umasikini,hilo liishakufanikiwa nadhani hakuna mzazi mwenye mawazo endelevu ambaye angependa kuona mwanae akisoma katika mazingira kama haya sema uwezo wa kumudu mazingira tofauti unashindikana kutokana na maisha kubana!