Serikali imesahau madeni yake kwa kampuni za wazawa

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Serikali ya CCM iliingia kwa mbwembwe nyingi na mikogo kiasi kwamba ilikua gumzo Duniani,lakini inakoelekea ni kuangukia pua.Nasikia bwana mkubwa kwanza hashauriki analoamua yeye akiamka ndio la mwisho.

Nimesikiliza mkutano wa BOT na waandishi umejaa lugha za siasa zisizo na majibu kwa watanzania.Kuna kamouni nyingi zinadai taasisi za serikali na serikali imefumba macho kana kwamba hakuna kinachoendelea na haidaaiwi chochote,baadhi ya taasisi hizo zimeshaanza kupelekwa mahakamani na kudaiwa kulipa hasara zilizo sababisha.

Naomba serikali hii ikumbuke inapofanya vita na mfanyabiashara awe mdogo ama mkubwa anaeumia ni yule mtu wa mwisho ambae anategemea ile huduma kwa njia moja ama nyigine.Na serikali ijitahidi kukwepa kufanya biashara maana naona kama na yenyewe inataka kujitahidi sasa iwe na biashara kutokana na kauli za mheshimiwa.....mfano ntabadilisha noti tuone hela zenu mtazipeleka wapi.....hizi sio kauli za kumtolea mfanyabiashara ambae akigeuza shilingi ni familia za watu wa kipato cha chini ndio wanaumia na wewe raisi utakua ikulu ukila kwa mrija bila kujua uchungu uliopo mtaani.
 
Back
Top Bottom