Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa.

Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼

=================================

33A61E52-1FBE-4064-9272-222B5F759D60.jpeg
 
Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa.

Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼

View attachment 1940439
Mhubiri alisema wazi kuwa tamko la kwamba kuna covid lililenga kupata fedha
 
Dah!!!,hii ndo Bongo yetu bhana, maajabu hayaishi.Kuhusu Korona,Mimi Naona naishi tu kwa Neema za MUNGU.
 
Ina maana watetezi hawapo au hawajaona hizi tuhuma? Maana hata Ruge nae haamini kama kuna rona, nimeona picha akiwa na wanafamilia pale alipotoka mahakamani
 
Unaambiwa kuna magari yatakuwa yanatembea kutoa Chanjo. Ni bora yapelekwe vijijini kuwabeba Mama wajawazito kuwapeleka kwenye Zahanati watuletee watoto kuliko kupoteza gharama kwenye mafuta
 
Kwa kweli, yapelekwe tu kwenye mahospitali
 
Back
Top Bottom