FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani Gwajima alisemaje?Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa.
Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo ππΌ
View attachment 1940439
Mhubiri alisema wazi kuwa tamko la kwamba kuna covid lililenga kupata fedhaMtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa.
Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo ππΌ
View attachment 1940439
Aibu sana hiiMhubiri alisema wazi kuwa tamko la kwamba kuna covid lililenga kupata fedha
Aibu wakati noti ishaingiaAibu sana hii
ππππ, pesa inashusha utu kwa kweli ππAibu wakati noti ishaingia
Hahha, noma sanaππππ, pesa inashusha utu kwa kweli ππ
Ruge Mutahaba?Ina maana watetezi hawapo au hawajaona hizi tuhuma? Maana hata Ruge nae haamini kama kuna rona, nimeona picha akiwa na wanafamilia pale alipotoka mahakamani
Ndio, si ulimuona, kulia akiwa Nandy kushoto Bil, amefutiwa shitaka lake, ni furaha na vifijo tuRuge Mutahaba?
Kwa kweli, yapelekwe tu kwenye mahospitaliUnaambiwa kuna magari yatakuwa yanatembea kutoa Chanjo. Ni bora yapelekwe vijijini kuwabeba Mama wajawazito kuwapeleka kwenye Zahanati watuletee watoto kuliko kupoteza gharama kwenye mafuta