Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli,
Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa ..
Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo
Yaani mwaka 2015-2020
Ambapo nafikiri serikali inalifanyia kazi hili kuhakikisha HAKI ya mtu haipotei....
Lakini vipi kuhusu ile nyongeza ya Kila mwaka mwezi wa Saba ambayo ipo kisheria??
Mwezi wa 7 hola,
Wa 8 hola..
Kunani