Serikali imetishia kunishtaki kwa deni la mkopo, nifanyeje?

Dickmadegwa

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
27
Reaction score
7
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwa kuwa mkopo ulikuwa issued..

Sasa ni mwaka umepita wameanza kunisumbua nilipe na tulikubaliana nilipe kwa mwezi elf 50, Sasa nilianza kulipa kama x3 nikawa Sina kitu maana Sina kazi.

Sasa nilipata mtu wa kunisaidia kulipa kwa mkupuo zote nikatuma maombi ili wanipunguzie nilipe million 2 zote kwa mkupuo lakini wakakataa.

Sasa wameanza kunisumbua na kunitisha kuwa watanifunga. Je, nifanyeje na kisheria ipoje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakupunguzie?Kwani mkataba wenu ulikua unasema kuwa kuna room ya kupunguziana?Hebu walipe pesa yao am sure uliinvest somewhere na sasa fanya marejesho

Kumbuka ile ni taasisi sio mtu binafsi na inakua audited kusema mtanegotiate sijui mpunguziane

Lakini kwani mkataba wenu unasemaje?
 
Hawawezi kukufunga hivyo ni vitisho tu! Kama wanakusumbua kwa njia ya simu, si ubadili namba upotee hewani?
 
Walipe tu dawa ya kukopa ni kulipa tu
 
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwa kuwa mkopo ulikuwa issued..

Sasa ni mwaka umepita wameanza kunisumbua nilipe na tulikubaliana nilipe kwa mwezi elf 50, Sasa nilianza kulipa kama x3 nikawa Sina kitu maana Sina kazi.

Sasa nilipata mtu wa kunisaidia kulipa kwa mkupuo zote nikatuma maombi ili wanipunguzie nilipe million 2 zote kwa mkupuo lakini wakakataa.

Sasa wameanza kunisumbua na kunitisha kuwa watanifunga. Je, nifanyeje na kisheria ipoje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawalipa bayport wenyewe matapeli wakubwa
 
Bayport ni matapeli, na inakingiwa kifua na vigogo. Ieleweke pesa ya makato ya Bayport hukusanywa kupitia TRA; sasa kama upo tayari kulipa kwa mkupuo, kwa nini wakatae pesa?
 
Back
Top Bottom