Serikali Imetosheka, Haihitaji MADAKTARI, WALIMU Wala MA-ENGINEER Zaidi

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
408
Reaction score
435
Wanadhamin SIASA, BIASHARA na BURUDAN ndo kuna upungufu huko nadhan ahahaa.. ukstaajabu ya flaun utayaona ya serikali Tz
 
wakati mpango wao wa 2025 ni kuongeza madaktari na mainjinia
 
Hao siasa tu kiongoz, wanaongezaje? kwa kuwaambia wanafunz maskin/yatima wakauze mashamba na ng'ombe km hawana walime2?
 
Wanadhamin SIASA, BIASHARA na BURUDAN ndo kuna upungufu huko nadhan ahahaa.. ukstaajabu ya flaun utayaona ya serikali Tz

Hueleweki mkuu unataka kusema nini?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Lakini bado inajitahidi kuajiri japo kwa kiwango kidogo! Wataalamu wanaitajika Nadhani uchumi wetu ndo haustahimili
 
i'm talkn abt serikal thru heslb kuwatosa wanaoenda kuchukua fani za u-daktar, u-engineer na u-alimu. 'ts strange mno..
 
Wapi wametoswa baba?? Tupe evidence bwana maake wengi wapo vyuoni sasa wanafanya registration
 
i'm talkn abt serikal thru heslb kuwatosa wanaoenda kuchukua fani za u-daktar, u-engineer na u-alimu. 'ts strange mno..

so ulitakukusema kwamba unasoma udaktari lakini umenyimwa mkopo?...au sio?...ungeongea sasa ueleweke!!..next time kua straight kwenye ujumbe wako utapata mkopo..!!!
 
Wanadhamin SIASA, BIASHARA na BURUDAN ndo kuna upungufu huko nadhan ahahaa.. ukstaajabu ya flaun utayaona ya serikali Tz

Haihitaji madaktari kwa sababu kuna tiba mbadala ambayo ni very effective, kuna mitume na manabii wanatibu hadi mapepo ambayo hospitalini hayatibiki, kuna 'mababu' kama yule wa Oldonyo L'engai oh..!! sorry wa Loliondo. Haihitaji walimu kwa sababu hata wasio walimu wanafundisha (esp. tuition centres) na hufaulisha, haihitaji engineers kwa sababu hata 'vishoka' waliwahi kufanikiwa kusambaza umeme mkubwa (H.T.) kilomita 20 successfully jiji fulani hivi jina linahifadhiwa, n.k.
 
Serikali ya nne,,,inatoa kipaumbele kwa watu wanaosoma non priority courses,,,,,,,maana wengi waliojaza non priority courses wamepata mkopo,,,,mwakani mimi nitajaza non priority courses[political science],,,,nadhani nitapata,,maana rafiki yangu kajaza hiyo mwaka huu wamempa 90%,,,,,,mimi nimepata,,,,education[udsm],,,,,non secure for loan,,,,,
 
Hazikutoshi

Wewe ndo hazikutoshi unaonekana umevamia mada ambayo hata hujaielewa , serikali siku zote inahimiza watu wasome masomo ya science watu wawe madaktari n.k ... Xaxa cha ajabu mwaka huu hadi watu wa MBBS , MD wamekosa mkopo .. Na hicho ndo ambacho mtoa mada alikua anajaribu kuwasilisha
 

Ni kweli mkuu kuna watu wa MBBS nasoma nao IMTU cha ajabu wamekosa mkopo.... Xaxa sijui wana maana gan ..!?
 
Wapi wametoswa baba?? Tupe evidence bwana maake wengi wapo vyuoni sasa wanafanya registration

Evidence zipo ndugu Kuna watu wa MBBS nasoma nao IMTU cha ajabu wamekosa mkopo .... Na vyuo vingine pia wapo ambao wanasoma priority courses wamekosa ....
 
Kama wanaharakati tumejitahd kufatilia suala hl tangu mwanzo,kuanzia Bodi ya mikopo,wizara ya elimu,kwa Waziri mkuu,kwa Baba RIZ ila huko kote hatukpata msaada na majibu yenye tija,tumeamua kwenda MAKAO MAKUU CHADEMA,tumekutana na wakubwa akiwemo Mweshimiwa Myika,tumepewa ushauri kuwa jumanne tarehe 15,kamati za bunge zinaanza,tunatakiwa kuwepo pale posta BUNGE DOGO hasubuhi saa tatu tutakutana na WABUNGE wengne ili mchakato huu ujadiliwe kitaifaUpyaa,hvyo kama upo hapa dar au mkoani na kuna mtu anamfahamu tafadhali mwabalishe, tumeambiwa wingi wetu ndo utachangia suala hili kuonekana lina mashiko na kupatiwa suluhsho sio maswala ya KASUNGURA KADOGO. tufahamishane kwa pamoja linawezekana.NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…