Serikali imetumia vigezo gani kuwapata vijana wa kuwapa mafunzo ya kilimo kwa ajili ya kuwapa Mashamba?

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri wa kilimo alitangaza kwamba mchakato umekamilika na vijana wameshapatikana na soon wataanza mafunzo, swali je serikali imetumia vigezo gani kuwapata hao vijana?
 
Wametumia kigezo cha kuwa na kadi ya Mbogamboga au Uwe Teeth Igo Sirii Upelezi wa Ndani wa vijana wao.
 
Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri wa kilimo alitangaza kwamba mchakato umekamilika na vijana wameshapatikana na soon wataanza mafunzo, swali je serikali imetumia vigezo gani kuwapata hao vijana?
Kulikua na fomu ya kujaza, fomu iliwekwa kwenye tovuti rasmi ya serikaliView attachment 2528865
Screenshot_20230224-213348_Chrome.jpg
 
Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri wa kilimo alitangaza kwamba mchakato umekamilika na vijana wameshapatikana na soon wataanza mafunzo, swali je serikali imetumia vigezo gani kuwapata hao vijana?
Yuuvii sisi em
 
Ulikuwa unaingia website ya wizara ya kilimo then kuna fomu unajaza
 
Kisichokuhusu haukutani nacho
 
Majibu yametoka kwani ? Mimi nilijaza hiyo form hadi sasa sijapata majibu yoyote

Kama yametoka tuuze ni kwa njia.
 
Back
Top Bottom