Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kulikua na fomu ya kujaza, fomu iliwekwa kwenye tovuti rasmi ya serikaliView attachment 2528865Hivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri wa kilimo alitangaza kwamba mchakato umekamilika na vijana wameshapatikana na soon wataanza mafunzo, swali je serikali imetumia vigezo gani kuwapata hao vijana?
Yuuvii sisi emHivi karibuni serikali ilitangaza mkakati wa kuandaa mashamba na kuwapa vijana na kuwapa mafunzo ya kilimo kwa miezi minne kisha kuwapa maeneo ambayo tayar yameshaaandaliwa, cha ajabu jana waziri wa kilimo alitangaza kwamba mchakato umekamilika na vijana wameshapatikana na soon wataanza mafunzo, swali je serikali imetumia vigezo gani kuwapata hao vijana?