Serikali imewasihi wafanyabiasha wa bureau de change

Serikali imewasihi wafanyabiasha wa bureau de change

dope bwoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
236
Reaction score
602
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’ ambayo yalifungwa na Serikali, waende kuchukua vifaa vyao vilivyochukuliwa na kikosi kazi kilichokuwa katika operesheni hiyo.
 
... hii nchi iliharibiwa kweli kweli! Halafu waharibifu wakuu wametulia tuli kama sio wao na wengine wamekuwa promoted! Kwa CCM hii; tusahau maendeleo!
 
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’ ambayo yalifungwa na Serikali, waende kuchukua vifaa vyao vilivyochukuliwa na kikosi kazi kilichokuwa katika operesheni hiyo.
Mbona kama tunakumbuka shula huku pameisha kucha?
 
Kinachoumiza

Washauri wa HANGAYA katika uchumi ndio walewale waliokuwa washauri wa dikteta Magufuli

Tusitegemee Jambo jipya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hapo sasa mhandisi kawa waziri wa fedha.
 
Hakuna 'Panya' mwenye uthubutu wa kumdai fidia 'Paka'?
Ingekuwa ughaibuni (mbele) hao wafanyibiashara sasahivi wanachekelea maana lazima wafidiwe.
Wakipeleka madai, Pilato mweledi haangalii ukurefu wa sharubu za mlalamikiwa wala mlalamikaji,
Sheria ni sheria na itafuata sheria.

-Domo langu koma.
 
Back
Top Bottom