.... zaidi ya miaka 60 sasa kila leo CCM wanafanya majaribio ya kuendesha nchi! Inahuzunisha sana.Ktk hili serikal ya ccm imenishangaza sana ..
Mbona kama tunakumbuka shula huku pameisha kucha?Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’ ambayo yalifungwa na Serikali, waende kuchukua vifaa vyao vilivyochukuliwa na kikosi kazi kilichokuwa katika operesheni hiyo.
Turejee kwenye biashara.Wakishachukua, then?