Serikali imezuia mchele kuuzwa nje? Huyu analeta huyu anauza

Serikali imezuia mchele kuuzwa nje? Huyu analeta huyu anauza

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu.

Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa hawa walioleta mchele kutoka nje wanaweza pia wakauza huko nje baada ya kuuleta hapa Tanzania ikawa njia tu.

Kuna bidhaa nyingi ambazo serkali imeruhusu ziletwe ila zikifika huuzwa tena nchi za jirani. Watu wa Mbeya wanunua mafuta Zambia, kule kagera nguo hunuliwa Rwanda au Uganda.

USSR
 
Kama tu serikali hii haina uwezo wa kuona hatari ya njaa kwa muda wa mwaka mmoja tuu!

Kitaalamu, serikali ilipaswa iwe na uhakika wa uwepo wa chakula cha kutosha na akiba kubwa kiasi cha miaka miwili hivi ndiyo iruhusu mazao kuuzwa nje

Badala yake wananchi wameishiwa chakula na sasa serikali kwa muda mfupi tu na wao wanaagiza chakula kutoka nje!

Kwa mantiki hii, uwezo wa serikali kukabiliana na changamoto za wananchi ni mdogo kuliko hata mchanga wa bahari

Kwa mantiki hii, serikali ya jinsi hii, haina uwezo wa kuiona Tz yetu kwa kipimo cha maendeleo ya miaka hata mitano tu

Tukimsema JPM kwamba alikuwa anaijua nchi na aliitendea haki nafasi yake mnapiga mayowe!

Alikuwa akiitazama Nchi na kuiona miaka mia mbele itakuwaje
 
Wale madalali na wachuuzi wa mazao ilikuwa ikianzishwa mada ya kutaka kuzuiwa mazao kusombelewa nje walikuwa wanavamia uzi kama nyuki, nafikiri walikuwa na syndicate yao humu JF ya kuzima kila hoja ya kuitaka serikali izuie usafirishaji wa mazao ya nafaka nje ya nchi wakijificha kwenye kivuli cha mkulima, saa hizi wapo kimya siwasikii tena...​
 
Wale sio wakulima ni wapumbavu tu

Walijipa uwakala wa kuwatetea wakulima, kumbe ilikuwa janja ya nyani, baadaye tukamsikia na bwashee naye akiimba ngonjera ya wakulima wanufaike, itakuwa walifanya lobbying kwa bwana shee kwa kutumia bahasha nono.
 
Back
Top Bottom