Wale madalali na wachuuzi wa mazao ilikuwa ikianzishwa mada ya kutaka kuzuiwa mazao kusombelewa nje walikuwa wanavamia uzi kama nyuki, nafikiri walikuwa na syndicate yao humu JF ya kuzima kila hoja ya kuitaka serikali izuie usafirishaji wa mazao ya nafaka nje ya nchi wakijificha kwenye kivuli cha mkulima, saa hizi wapo kimya siwasikii tena...
Walijipa uwakala wa kuwatetea wakulima, kumbe ilikuwa janja ya nyani, baadaye tukamsikia na bwashee naye akiimba ngonjera ya wakulima wanufaike, itakuwa walifanya lobbying kwa bwana shee kwa kutumia bahasha nono.Wale sio wakulima ni wapumbavu tu