Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco.

Kama Taifa ni lazima tuungane na tukatae kubagazwa kwa aina yeyote na mtu wa aina yake hasa kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya Nchi yetu.

Soma Pia:
Kwa kuandika habari ile pekee Micky si rafiki wa Tanzania tena bali ni mhaini kama wahaini wengine.

Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania!
 
Soma Pia: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

Kwa kuandika habari ile pekee Micky si rafiki wa Tanzania tena bali ni mhaini kama wahaini wengine.

Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania!
Tatizo hamtaki kuelimishwa

Kosa lake ni lipi, labda kama kutakua na sababu ya msingi it's OK, huezi ukwepa uhalisia kwa sababu ya hisia
 
Micky amekuwa akihujumu mpira wa Tanzania kwa mgongo wa kuiponda Yanga. Ila makolo wanamshangalia sana. Sasa anaichafua Tanzania kwa sababu anao watu wanamuunga mkono. Kuna kipndi alidai kwamba anataka kuuliwa akija Tanzania sikumbuki sijui ilikuwa ni mechi ya fainali ya shirikisho Yanga vs Alger
 
Kilichoandikwa ni kweli au hakipo kwenye taratibu za CAF na mpira kwa ujumla
 
Micky amekuwa akihujumu mpira wa Tanzania kwa mgongo wa kuiponda Yanga. Ila makolo wanamshangalia sana. Sasa anaichafua Tanzania kwa sababu anao watu wanamuunga mkono. Kuna kipndi alidai kwamba anataka kuuliwa akija Tanzania sikumbuki sijui ilikuwa ni mechi ya fainali ya shirikisho Yanga vs Alger
We lofa kweli Micky ameleta taarifa ya malalamiko ya Guinea ...tena wa Kikanuni.Sasa unabwabwaja nini! Umeona utetezi dhidi wa TFF ? Hat mtoto' wangu wa Std 3 asingeandika utetezi wa kindezi kama vile!
 
Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco.

Kama Taifa ni lazima tuungane na tukatae kubagazwa kwa aina yeyote na mtu wa aina yake hasa kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya Nchi yetu.

Soma Pia:
Kwa kuandika habari ile pekee Micky si rafiki wa Tanzania tena bali ni mhaini kama wahaini wengine.

Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania!
Akili zako za ktoto haswa....!
 
Mkikosa vya kuandika kukaa kimya napo ni mchongo mbona
 
Back
Top Bottom