Serikali imuangalie Humphrey Polepole kwa jicho la karibu. Hana nia njema!

Kuna habari inazunguka mtandaoni ikiwa ni pamoja na humphrey pole pole mwenyewe kuichapisha kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba amevamiwa nyumbani kwake dodoma na watu wasiojulikana...
Mtajuana wenyewe. Kwanza bunge lote 100% ni CCM. Wapinzani waliwachelewesha sana.
 
Subiri uje uvamiwe uibiwe wewe ndio utajua kama unalosema ni ujinga,Polepole atafute huruma ya nini? kwa kosa gani?
 
Kati ya watu wasio na Nia nzuri Ni wewe,umefanya uchunguzi gani ukaona hayo unayoyasema ndio kweli?
Hata Lisu aliwahi kusema Kama polepole mkampuuza mwisho ilikuwa Nini?
Fanyeni uchunguzi Acheni siasa kwenye maisha ya watu.
 
Hujielewi.
unaendeshwa na Ego

Fanya kazi kwa msilahi mapana ya familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…