cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema.
Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi hazieleweki kwamba zinatoka lini.
Tukiwasiliana na uongozi wanasema bado mchakato wa ukaguzi unaendelea wakati afsa maendeleo kata na timu yake yake walishakagua, afsa maendeleo wilaya na timu yake akiwemo na afsa biashara walishakagua karibu timu yote ya ukaguzi imeshakagua lakini bado hakuna mwelekeo wowote wa kutoka pesa hizo hali inayopelekea wana vikundi waliokamilisha taratibu zote kuwa na mashaka juu ya pesa hizo kwamba kuna ufisad unaendelea juu ya pesa hizo.
Kwahiyo tunaomba mamlaka husika uchunguze kwa kina swala hili, sababu wanavikundi wamepoteza sana muda wao , fedha zao kwa ajili ya kuandaa nyaraka nk.
Nawasilisha.