Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu.
Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi.
Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo mafuta ambayo ni hatari ikitokea ajali mji wote unaweza Waka moto ukizingatia gari la kuzima moto ni hadi litoke zaidi ya kilometa 200.
Kiuchumi haipo poa.
Inatakiwa zijengwe njia sita hivi angalau Ile barabara ni nyembamba sana kulingana na mahitaji ya Sasa ya ukuaji uchumi.
 
Hapo mpaka magari yaje kuwaka moto ndiyo watachukua hatua.
 
Kwa magari yanayoelekea Sumbawanga na katavi hakuna haja ya kuingia Tunduma mjini yafaa pale Mpemba ipasuliwe barabara ikaunge na barabara iendayo Rukwa
 
Back
Top Bottom