Serikali inafahamu kuwa wananchi wengi mkoani kigoma hawajapatiwa namba za Nida?

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
 
Hatuitambui. Wanakigoma wameshapata namba za NIDA ila wale wahamiaji haramu ndiyo hawajapata!
 
Ingieni mabarabarani hata kwa dk 10 kuwashinikiza NIDA wawapatie namba zenu tofauti na hapo mtakufa na mbunge wenu wa twitani
 
Back
Top Bottom