Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA BUDGET HIGHLIGHTS 2021_ATE.pdf

1624391786183.png
 
Huyo trillion 17 ni kwa mwaka sio mwezi. Ila sikulaumu kwa kuwa hujui kusoma
Duuh!! Naona hakuelewa, kama ingekuwa hivo basi tungeweza kulipa deni la Taifa na kutekeleza miradi yote mikubwa kwa fedha za ndani bila kutegemea misaada na mikopo toka kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom