Katika kile kinachoonekana hali tete serikali imeshindwa kutoa matokeo ya kidato cha pili kwani wanafunzi wamefeli sana.kama wastani utabaki ule ule wa 30 kuna shule zitafaulisha wanafunzi chini ya kumi.Serikali inataka kupunguza wastani kama walivyofanya darasa la saba waliposhusha wastani mpaka 70.ikumbukwe pia kama serikali yetu ni ya quantity na sio quality ndio maana hata Rais kwenye hotuba yake alijisifia kupeleka wanafunzi wengi sekondari mwaka huu bila kujali ubora wa wanafunzi walioenda sekondari