Mambo vipi wadau?
Kwa jinsi hali ilivyo ya mambo na matukio tunayoendelea kushuhudia hivi katika jamii ni dhahiri kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na tahadhari kubwa kuelekea Uchaguzi wa 2025 la sivyo tunaweza kushuhudia uvunjivu wa amani ambao hatujawahi kuhushuhudia hapo kabla.
Najaribu kuwaza kwa sauti!