Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
kweli kabisa serikali inabidi ilipe fidia kwa kushindwa kuwazibit wauni hao
msipende kuitegemea serikali kwenye kilakitu. mkilazimisha jambo mnaweza kusababisha maafa kama walivyo sababisha madaktari! ni kuwa tu wapole na uvumulivu ndoo utaweza kuwapa fidia ila si kwa kulazimisha!!!
Kulinda raia na mali zao ni daraka la serikali, hivyo basi ikiwa serikali imeshindwa kuwadhibiti Waislamu wanaofanya fujo na kuchoma mali za watu na makanisa, serikali inapaswa kutoa fidia kwa mali zilizoharibiwa. Hii ni haki ambayo waathirika wa ufujaji huu wa sheria wa Waislamu wanapaswa hata kulifikisha hili suala mahakamani.