M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma!
Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika misingi ya "umimi".
Halikadhalika South Africa, Makaburu waliwakandamiza Waafrika weusi kwa hiyo hiyo misingi ya "umimi".
Mlio karibu na mwenyekiti wa chama chetu CCM, mpitisheni kwenye hiyo horrible and terrifying memory lane.
Tafadhali tafadhali tafadhali na Mungu atawabariki sana.