Na makampuni ya simu hayatokili wazi kuwa yamepata hasara.Kampuni za simu zimepata hasara kubwa na VPN kapata faida kubwa mno , wanaombea internet iendelee kuzorota waendelee kupiga pesa bila kelele
N makampuni ya simu hayatokili wazi kuwa yamepata hasara.
Unahisi wana nguvu yakulalamika?Sijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Zaidi sana watamsifia na kumuabudu jiweN makampuni ya simu hayatokili wazi kuwa yamepata hasara.
Siku wakipata hasara watalalamika tu.Unahisi wana nguvu yakulalamika?
Hamna point za msingi zaidi ya kulalama kwa kila jambo. Kuna ubaya gani usalama wa nchi ukilindwa? Mapato yapo tu ndio maana tunaanza kujenga uwanja wa michezo Dodoma. Au mnataka mpewe Chadema mjenge ofisi?Kampuni za simu zimepata hasara kubwa na VPN kapata faida kubwa mno , wanaombea internet iendelee kuzorota waendelee kupiga pesa bila kelele
labda usalama wa ccm siyo wa nchiHamna point za msingi zaidi ya kulalama kwa kila jambo. Kuna ubaya gani usalama wa nchi ukilindwa? Mapato yapo tu ndio maana tunaanza kujenga uwanja wa michezo Dodoma. Au mnataka mpewe Chadema mjenge ofisi?
Asilimia 1 tu ya raia wa Tanzania ndiyo wanajuwa kutumia vpn, asilimia 99 hawajuwi vpn ni nini na inatumiakaje na inapatikana wapiKama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
Unataka walalamike ili wapigwe biti vizuriSijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Sababu wataona hamna sababu yakununua vifurushi vya internet na kuamua kuwa wananunua dk na sms pekee...Hasara haiwakwepi.asilimia 1 tu ya raia wa Tanzania ndiyo wanajuwa kutumia vpn, asilimia 99 hawajuwi vpn ni nini na inatumiakaje na inapatikana wapi
kwahiyo hasara ipo pale pale
+ Bundle la internet kutoka kwa ISP wako...Au vpn unayotumia wewe wanakupa na package ya data?Nilikuwa nalipia bundle Smile la Tshs 34,500 , 10 GB, kwa mwezi.
Kwa mwaka karibia 414,000( au $178).
WAMEZIMA!
NIKAINGIA VPN.
Nimelipia KWA MWAKA $49.9!
Nawapongeza TCRA kwa kutufungua macho.
Waendelee kufunga data mitandao.