Dogo chaka
Member
- Nov 19, 2024
- 7
- 6
Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi.
Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja kuleta maendeleo katika mazingira yetu ya mtaani na mashambani lakini kuna vyuo kama CBE au MIPANGO vinapewa vipaumbele na kuboreshwa kila leo .
Serikali inahitajika kutupia macho katika vyuo kama hivi vya mifugo na ukulima ili kuwa na wataalam katika maswala haya ya kilimo na ufugaji
Huo ni mfano wa darasa la wataalam wa mifugoo.