Top for B
JF-Expert Member
- Mar 4, 2023
- 803
- 2,796
Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.