Serikali inatakiwa kuelewa kwamba watanzania tunapinga mkataba kutokana na masharti yake

Top for B

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
803
Reaction score
2,796
Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.

 
Kwani maandamano ndo njia pekee ya kupinga mkataba
 
Kuna mambo yanachekesha kwenye hiyo mihimili hadi mwisho yanatia kinyaa hata kuyasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…