Serikali inatengeneza maadui wa baadae-kupiga vijana bila sababu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Vijana wengi wa umri huu watakuwepo Tanzania kwa miaka 40! Sasa serikali ikifanya hivi inatengeneza jamii gani kwa miaka 40 ijayo. Samia hazidishi miaka 5 anaondoka !! tafakari hili. Kuna ambao wataangalia rangi za shati pekee na kuishia hapo lakini hatujui miaka 40 ijayo kama hizi rangi zitakuwepo lakini hata sahau alichofanyiwa

 
Kijana afanye kazi,tulimpambania mrema tukiwa vijana,hatuna hamu
 
Watu wanatengeneza visasi.. ipo siku mambo yataharibika
 
Acha ujinga ukileta upumbavu unashughulikiwa ipasavyo, km huna cha kuandika bora ukae kimya.
 
Ndicho wanachikiweza, mengine kwao ni uzumbukuku.
 
Inasikitisha sana, wajukuu zao je ikiwatokea hivi @ gwajimanization
 
Kijana afanye kazi,tulimpambania mrema tukiwa vijana,hatuna hamu

Hivi unafikiri hawa vijana watakuwa kama sisi kwa mitandao hii na Dunia ya leo haiwezekani. Tanzania haitakuwa hivi inawezekana hata tusiwepo kama nchi moja miaka hiyo
 
Hivi unafikiri hawa vijana watakuwa kama sisi kwa mitandao hii na Dunia ya leo haiwezekani. Tanzania haitakuwa hivi inawezekana hata tusiwepo kama nchi moja miaka hiyo
Acha kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…