Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 68
Serikali inatia aibu. Mizani moja kibaha ni mbovu. Malori yameziba njia toka asubuhi hakuna kuingia wala kutoka dar. Kichekesho ni kwamba kuna askari wa usalama barabarani wengi lakini wote wamesima wanaangalia tu. Hakuna anaye ajali. Tumejaribu kumpata magufuli kazima simu. Nchimbi naye kazima simu. Tunakwenda wapi?