Serikali inatoa msaada gani kwa sekta ya utalii ambayo imeathiriwa zaidi na COVID-19

Serikali inatoa msaada gani kwa sekta ya utalii ambayo imeathiriwa zaidi na COVID-19

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Ni ukweli tu kuwa sector ya Utalii ambayo kwa asilimia kubwa inaendesha na private sector imeadhirika kuliko idara zote kipindi hiki cha corona
Naomba kujuzwa Serikali inatoa mchango gani kwa hiyo sector na waadhirika wake kwani zaidi ya nusu wamekosa ajira?
 
Back
Top Bottom