Serikali inatumia Kodi zetu kiholela sana

Serikali inatumia Kodi zetu kiholela sana

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Serikali inatumia Kodi zetu kiholela sana,

Nimetembea Mikoa mbalimbali hapa nchini Sasa humo wilayani kuna kuogopesha kwa uwepo wa magari waliyoyabatiza Kwa jina la magari mabovu (chakavu),

Lakini kiuharisia naona sio jina sahihi maana Kwa gharama za service sio kubwa kama gharama gari la 400+ unaweza yakaranati hata gari 20+,

Ukiwauliza baadhi ya madereva wanakutajia mengi ya magari ni uharibifu mdogo mdogo lkn lipo juu ya mawe.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom