Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika!
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania.
Actually, Naweza sema endapo upo nje ya Tanzania na unafuatilia siasa ya bongo basi lazima Chadema uwape 100% ya kushinda uchaguzi huu kutokana na followers,supporters wake waliopo huku mtandaoni!
Sasa basi, Mtandaoni ikiwa asilimia kubwa "hawatumii majina yao kamili na picha zao kamili", basi wakiamua jambo either la uzushi au hata kama wataplan kulifanya basi kwa mtandaoni litapokelewa na kusambazwa mtandaoni ipasavyo!
Mfano: Huko twitter basi utasikia tuone nani anapendwa zaidi kati ya Lissu na Magufuli.
Retweet: Lissu.
Like: Magufuli
Kwa kawaida mtu anaweza retweet zaidi ya mara moja, hii ipo kinyume na like ambayo ni mara moja tu kwa mtu mmoja!
Hii kusema mtu mmoja wa kuretweet anaweza simama na watu wanao like zaidi100.
Hivyo basi,watu kumi tu wanaweza retweet wawezavyo na kumpa ushindi mtandaoni Lissu, sasa hapa kama hujui uhalisia lazima utatambua Lissu anapendwa kupita maelezo.
Nini kinafanya CHADEMA waitawale mitandao ya kijamii?
Kwa kuwa mitandao ya kijamii ipo for fun kwa watanzania wengi, basi watu hutumia kufanya kejeli, kuchafua watu kuliko kuwasafisha, kuponda kuliko kusifia mazuri , kuchekesha watu na hata kutukana watu basi ndio hapo CHADEMA hupata followers mtandaoni with ' fake ID' kuanzia jina na display picture zao kwa kuwa CHADEMA kama chama wanasifa zote tajwa hapo juu kuliko CCM.
Sasa zima data kwenye simu yako/Laptop yako, rudi mtaani ambapo serikali huundwa utashangaa.
-Yule anayejiita Chade, dema , na majina mengi ya ajabu mtandaoni, akirudi mtaani ni Mwanachama mzuri na suppoters wa magufuli mzuri kabisa. Nimekuja kutambua chadema asilimia kubwa wanasapportiana na "fake Ids" tu huku wakichekana huyu anasema huyu boya kweli, na yule anasema huyu boya kweli..Wote wakitaka kudumisha "Fun" iliyopo katika social media.
Ushauri, Zimeni data kidogo..Njooni mtaani ambapo serikali imeundwa, Hakika CHADEMA imeshakufa siku nyingi , kuanzia serikali za mitaa hadi ngazi ya kitaifa.