Mkuu nakushangaa sana kwa kukusikia mtu anatumia million 300 kuupata ubunge. Nitaafurahi sana kuona huyo mbunge akitumia mshahara wake kununua hilo gari badala ya kutupa mzigo walipa kodiNdugu yangu Bowie mawazo uliyonayo leo ni ya Dunia iliyopita ( Socialism). Yalikuwa ni mawazo mazuri kwa kipindi hicho ambacho kweli Wabunge walikuwa ni watumishi wa umma...
Kwamba wamepambana sana kupata nafasi hiyo isiwe sababu ya kupewa fedha ili kupunguza hayo makali ya upambanaji. Walipokuwa wakituomba kula walisema waziwazi kwamba wao watakuwa watumishi wetu.Achana na Ushauri wako. Wapewe Hera yao maana ni utaratibu uliopo/ Wamepambana sana Kupata Nafasi hhizo.
Hizo fedha wanazotumia kununua magari ni mikopo kutokana na mapato yao kwa kazi ya Ubunge hivyo si sahihi kusema huo ni mzigo kwa Serikali.Mkuu nakushangaa sana kwa kukusikia mtu anatumia million 300 kuupata ubunge. Nitaafurahi sana kuona huyo mbunge akitumia mshahara wake kununua hilo gari badala ya kutupa mzigo walipa kodi
Kwani wabunge wanatumia hela ya nani kununua magari?Mkuu nakushangaa sana kwa kukusikia mtu anatumia million 300 kuupata ubunge. Nitaafurahi sana kuona huyo mbunge akitumia mshahara wake kununua hilo gari badala ya kutupa mzigo walipa kodi
Duh! Kumbe ndiyo maana mnakimbizana kwa waganga huko? Ukishaona hali ipo hivyo, bado unashabikia tu.Ndugu yangu Bowie mawazo uliyonayo leo ni ya Dunia iliyopita (Socialism). Yalikuwa ni mawazo mazuri kwa kipindi hicho ambacho kweli Wabunge walikuwa ni watumishi wa umma....
ππAcheni uchawi, cha msingi kila mtu akabidhiwe hio 90M akatafute chombo chake πππ
πππ Mkuu kuna waheshimiwa wataenda kupaki Suzuki Alto au Passo maana saizi pesa imekuwa kipengele.Acheni uchawi, cha msingi kila mtu akabidhiwe hio 90M akatafute chombo chake πππ
Naskia wamekula 50m tu, ubunge unaenda kupoteza mvutoπππ Mkuu kuna waheshimiwa wataenda kupaki Suzuki Alto au Passo maana saizi pesa imekuwa kipengele.
Hiyo pesa inatosha kupata Vx ya mhindi Mahindra Scorpio Vx badala ya Land Cruiser Vx V8.Naskia wamekula 50m tu, ubunge unaenda kupoteza mvuto
VX ya Muhindi ni Bajaji iliochangamkaπππHiyo pesa inatosha kupata Vx ya mhindi Mahindra Scorpio Vx badala ya Land Cruiser Vx V8.
Hakuna aliyepambana wote wamepata ubunge kutokana na mfumo haramu na wa wizi wa Kura ulioratibiwa na DolaAchana na Ushauri wako. Wapewe Hera yao maana ni utaratibu uliopo/ Wamepambana sana Kupata Nafasi hhizo.