Serikali inunue magari katika majimbo kwa ajili ya wabunge

Naunga mkono hoja.
 
Kama hataki si akafanye shughuli zake
Mikataba yote mibovu wamehusika kwa kushinda kusimamia serikali.kimsingi hawana umuhimu kwa serikali ni takwa tu la kikatiba
 
Hilo wacha limsubiri wa Ubeleji akibahatika kuupata urais (ndotoni) anaweza akaanzisha huo utaratibu.
 
Naskia wamekula 50m tu, ubunge unaenda kupoteza mvuto
sasa sijui Madiwani watapewa ngapi maana walikuwa wanapewa mkopo wa 15M na CRDB kwa makato ya miezi 60 wakiwa wanakatwa 300 na mshahara ni hapo hapo.
Ma kwa vile ni wa Chama kimoja huenda posho zikahamishiwa kuimarisha Chama, asiyekubali ,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…