Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
SERIKALI NUNUENI: Vifaa vya kuokolea, ninachoamini majanga yanatokea mahari popote, pia iwe Funzo kwetu sisi tulioa hai.
Ila Jambo nililoliona kwa mtazamo wangu, Serikali wajipange upya kwa Jeshi la Jazima moto na Uokoaji. Serikali isipojipanga kwa ajiri ya watu wasio ktk serikali ipo siku yatawakuta nyinyi ambao ndo mmeshika hatamu au mamlaka, sasa Kuna umuhimu wa kua na Vifaa vya kuokolea.
Hivyo Vifaa Vitasaidia Kuokoa Maisha ya watu au kusaidiwa ktk majanga. Kupomoromoka kwa Majengo, hili swala inapaswa kua na Mafunzo maalumu ya kuokoa kwa Jeshi maalumu la Uokoaji. Kue na kitengo maalum cha Uokoaji wa Majengo au Ghorofa zilizoporomoka, Elimu zitoke kwa Nchi ambazo zinauzoefu wa Majengo malefu kuanguka au kulipuliwa mbinu wanazotumia kuokoa watu na Vifaa wanavyotumia.
Majanga huwa atujui yanatokea mda Gani, maana isije tokea siku janga kama hili na Vifaa hatuna vya kuokolea.
Kuna Funzo ktk kuanguka kwa Ghorofa. naamini Pale Chini ya Jengo Kuna watu Bado wanapambania uhai wao.
Nikifo ambacho mtu anaejiona kabisa kua huu ndo mwisho wa uhai wangu.